Matukio : Rais Dk Magufuli Ashiriki Ibada ya kumsimika Mhashamu Isaac Amani, Arusha - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 8 April 2018

Matukio : Rais Dk Magufuli Ashiriki Ibada ya kumsimika Mhashamu Isaac Amani, Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Askofu Msaidizi Prosper Lyimo alipowasili kushiriki Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisindikizwa na Askofu Msaidizi Prosper Lyimo alipowasili kushiriki Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia maelfu ya waumini na wananchi alipowasili kushiriki Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Maandamano ya Maaskofu tayari kwa Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Balozi wa Baba Mtakatifu nchini Askofu Mkuu Marek Solezyuski akisoma waraka toka Vatican wakati wa Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Josephat Louis Lebulu akimsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
Balozi wa Baba Mtakatifu nchini Askofu Mkuu Marek Solezyuski akishuhudia Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Josephat Louis Lebulu akimsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Muadhama Isaac Amani akiwa ameketi katikati ya Maaskofu wakuu baada ya kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Muadhama Isaac Amani akiwa amesimama katikati ya Maaskofu wakuu baada ya kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Mama Janeth Magufuli wkimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Josephat Louis Lebulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na maaskofu baada ya kusalimiana na Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na mapadri baada ya kusalimiana na Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda na Mkewe Mama Tunu wakimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Mama Tunu Pinda akimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Spika Mstaafu Mama Anne Makinda akimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo akimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt. Modestus Kipilimba akimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye akimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji Dkt Anna Makakala akimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira akimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Wabunge wa Mkoa wa Arusha wakimpongeza Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo akiongea wakati wa Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Sehemu ya mapadri katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikaribishwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha kuhutubia waumini na wananchi katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia waumini na wananchi katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya kamba kufungia ng'ombe wawili aliompa Mhashamu Isaac Amani baada ya kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya rozari Mhashamu Isaac Amani baada ya kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya Biblia Mhashamu Isaac Amani baada ya kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam baada ya Mhashamu Isaac Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Sehemu ya Maaskofu na mapadri kwenye sherehe ya kusimikwa Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Mapadri wakifurahia jambo kwenye sherehe ya kusimikwa Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mapadri alipomaliza kuhutubia baada ya Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Maaskofu Wakuu alipomaliza kuhutubia baada ya Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Maaskofu alipomaliza kuhutubia baada ya Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Maaskofu na mapadri alipomaliza kuhutubia baada ya Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mapadri alipomaliza kuhutubia baada ya Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mapadri alipomaliza kuhutubia baada ya Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na waumini alipomaliza kuhutubia baada ya Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na waumini na wageni waalikwa alipomaliza kuhutubia baada ya Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na waumini alipomaliza kuhutubia baada ya Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia waumini alipomaliza kuhutubia baada ya Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na watoto alipomaliza kuhutubia baada ya Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na waumini alipomaliza kuhutubia baada ya Mhashamu Isaack Amani kusimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Balozi wa Baba Mtakatifu nchini Askofu Mkuu Marek Solezyuski akiongea wakati wa kuhitimisha Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018
Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Josephat Louis Lebulu akiongea na waumini na wageni waalikwa wakati wa kuhitimisha Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Askofu Mkuu mpya Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Mhashamu Isaac akiongea na waumini na wageni waalikwa kwa mara ya kwanza baada ya kusimikwa katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaac Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaack Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda, Spika Mstaafu Mhe. Anne Makinda, Mama Tunu Pinda, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghirwa na Mkuu wa Mkoa wa ARusha Mhe. Mrisho Gambo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaac Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaac Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo pamoja na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Arusha baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaac Amani na maaskofu wengine wa kanisa hilo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiaga baada ya kupata picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaac Amani na maaskofu wengine wa kanisa hilo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Arusha Mhe. Godbless Lema baada ya kupiga picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaac Amani na maaskofu wengine wa kanisa hilo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mhe. Calist Laxaro baada ya kupiga picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaac Amani na maaskofu wengine wa kanisa hilo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda baada ya kupiga picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaac Amani na maaskofu wengine wa kanisa hilo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga waumini na wananchi baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018. Picha zote na IKULU

No comments:

Post a Comment