Utalii wa Ndani: CAAT Watembelea Hifadhi ya Selous - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 9 November 2017

demo-image

Utalii wa Ndani: CAAT Watembelea Hifadhi ya Selous





IMG_6221 Umoja wa Vijana waliosoma nchini China (CAAT) wametembelea katika hifadhi ya ya Taifa ya Selous ili kutangaza utalii wa ndani kwa njia ya treni ya TAZARA. IMG_7320 Akizungumza mwenyekiti wa umoja huo, Dkt. Liggyla Vumilia alisema kuwa wameamua kuandaa kampeni ya kutangaza utalii wa ndani kwa njia ya treni ya TAZARA hasa wa mikoa ya kusini mwa Tanzania ambao umekuwa ukisahaulika. Kampeni hiyo imeandaliwa na Umoja wa Vijana waliosoma nchini China (China Alumni Association of Tanzania -CAAT) kwa kushirikiana na Bodi ya Utalii Tanzania - (TTB) na TAZARA. PICHA ZOTE NA KAJUNASON/MMG - SELOUS-MATAMBWE, MOROGORO.

IMG_7315
IMG_7316
IMG_7317
Umoja wa Vijana waliosoma nchini China (CAAT) wakifurahia ndani ya treni ya TAZARA wakati wakielekea ndani ya hifadhi ya Selous. IMG_7327 Ilikuwa ni furaha kila kona. IMG_7340

IMG_7331
Treni ya TAZARA ikichanja mbuga. IMG_7346 Mahojiano yakiendelea ndani ya treni.

IMG_7341 Moja ya pango ambao treni inapita.

IMG_7356 Reli ya TAZARA imenyooka.

IMG_7371
IMG_7375
IMG_7396
IMG_7400
Umoja wa Vijana waliosoma nchini China (CAAT) wakifurahia ndani ya treni ya TAZARA wakati wakielekea ndani ya hifadhi ya Selous. IMG_7405
IMG_7422 Makaribisho ndani ya hoteli iliyopo nje kidogo ya hifadhi ya Selous eneo la Kisaki.

IMG_7427
IMG_7431
IMG_7432 Wakipata chakula cha usiku.

IMG_7440 Nami mmiliki wa Kajunason Blog, Cathbert Kajuna (kulia) niliweza kuwakilisha vyema na wana-CAAT. Pembeni yangu ni Chris na Yusuph.

IMG_7456 Wazee wa kazi Kaijage (mbele) akiwa na Dr. Heri.

IMG_7460 Wana-CAAT wakipata kifungua kinywa.

IMG_7495
IMG_7496 Wana-CAAT wakiwa tayari kuingia mbugani kujionea vivutio mbali mbali. IMG_7512 Wana-CAAT wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari ya kuingia mbugani.

IMG_7505
IMG_6302 Moja ya wanyama wanapatikana hifadhi ya Selous.

IMG_7531 Eneo la Matambwe gate.

IMG_7542 Furaha baada ya kufika eneo la geti kuu.

IMG_7550 Mhifadhi wa Wanyama Pori wa Selous kanda ya Matambwe, Gregory Kalokole akitoa maelezo machache juu ya hifadhi ya Selous. PORI la akiba la Selous ni moja kati ya hifadhi zenye utajiri wa vivutio adimu vya utalii na ambavyo vinapaswa kutangazwa zaidi kwa ajili ya watalii wa ndani na wa nje. Selous ni pori la akiba lenye ukubwa wa kilometa za mraba 54,000 likijumuisha maeneo ya ardhi oevu, misitu ya miombo, tambarare, nyasi za kuvutia, maziwa na mito inayotiririka, vyote vikifanya vivutio vya aina yake mbali na wanyama wa aina mbalimbali. Pori hili la akiba la Selous lilianzishwa mwaka 1896 na Wajerumani likiwa ni pori la kwanza kutengwa kwa ajili ya uhifadhi wa wanyamapori katika Bara la Afrika na la pili duniani kwa ukubwa baada ya hifadhi ya pori la Marekani ambalo linaitwa Yellowstone. Poro hili limegawanyika katika kanda 8 kiutawala. Umaarufu wa Selous si katika wanyama pekee ambao ndiyo kivutio kikubwa cha utalii wa uwindaji, utafiti umebaini kuwa katika eneo la Selous kuna utajiri mkubwa wa maliasili ya mimea ambayo ikitambuliwa na kutangazwa inaweza kuwa kivutio adimu na cha kipekee cha kitalii.

IMG_7568
IMG_7565
IMG_7571 Wakisoma ramani mbali mbali inayoonyesha hifadhi hiyo.

IMG_7573 Moja ya ramani.

IMG_7574
IMG_7577 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana waliosoma nchini China (CAAT), Dkt. Liggyla Vumilia akizungumza machache na Mhifadhi wa Wanyama Pori wa Selous kanda ya Matambwe, Gregory Kalokole.

IMG_7598
IMG_7608
IMG_7613 Moja ya wanyama wanaopatikana katika hifadhi ya Selous.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *