Elimu : Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Wafanyika Chuo kikuu cha Mzumbe - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 16 November 2017

demo-image

Elimu : Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Wafanyika Chuo kikuu cha Mzumbe


_MGS8497
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, akitoa hotuba yake kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi katika Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere uliofanyika Novemba 15 2017 chuoni hapo mkoani Morogoro.
_MGS8528
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere uliofanyoika katika Chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro.
_MGS8593
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro, akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
_MGS8625
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Prof. Ganka Nyamsogoro, akitoa hotuba ya kumshukuru mgeni rasmi._MGS8523
Sehemu ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi (hayupo pichani).
IMG_0663 Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Rainfrida Ngatunga (kulia), akifuatilia mada katika mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Nyerere uliofanyika Novemba 15 chuoni hapo 2017.
_MGS8448
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakifuatilia mdahalo huo.
_MGS8540
Meza Kuu.
_MGS8558
Washiriki wa mdahalo huo.
_MGS8561
Washiriki.
_MGS8693
Jonas Mkuna, akitoa mada.
_MGS8698
Prof. Justin Kalisti Urassa, akitoa mada juu ya sera ya viwanda katika Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere.
_MGS8656
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prof. Mathew Luhanga, akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro (kulia) na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka.
IMG_0787 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro (kulia), akibadilishana mawazo na Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Sylvia Lupembe na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka
_MGS8647
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakati wa
mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Nyerere.
_MGS8632
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na waandaaji wa mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Julius Nyerere.
_MGS8640
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watoa mada wa mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere.

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *