Matukio : Rais Dk. Shein Aandaa hafla ya Chakula kwa Ujumbe wa Serikali ya Oman - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


17 Oct 2017

Matukio : Rais Dk. Shein Aandaa hafla ya Chakula kwa Ujumbe wa Serikali ya Oman






Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin Hamed Al Ruhmi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja wakati hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini iliyofanyika jana.

Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi na Ujumbe wa Serikali ya Oman wakiwa katika hafla ya Chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja

Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi wakiwa katika hafla ya Chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kwa Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu ambayo iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja

Kikundi cha Taifa cha Sanaa ya Muziki wa Taarab kilipokuwa kikitumbiza jana wakati hafla ya Chakula cha jioni kilichoandalia na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kwa Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Zamani wa baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin Hamed Al Ruhmi katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja wakati hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini iliyofanyika jana,wengine (kushoto) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud (kulia) akifuatiwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimkaribisha Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin Hamed Al Ruhmi (kushoto) katika hafla ya Chakula cha jioni alichowaandalia Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini,iliyofanyika jana Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja.

Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin Hamed Al Ruhmi (wa pili kulia) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) wakichukua chakula katika hafla maalum iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, kwa Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akichukua chakula katika hafla maalum ya Chakula alichokiandaa jana kwa Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipkuwa akichukua chakula katika hafla maalum ya Chakula cha jioni kilichokiandaliwa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) kwa Ujumbe wa Serikali ya Oman uliotembelea Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Nchini katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad