Michezo : Waziri Mkuu Akutana na Timu ya Singida United Bungeni Mjini Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 6 July 2017

Michezo : Waziri Mkuu Akutana na Timu ya Singida United Bungeni Mjini Dodoma



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na timu ya Singida United, kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Julai 5, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahi jambo na Kocha wa Singida United Hans van der Pluijm, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni, 5, 2017 katikati ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba.

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba, katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 5, 2017.

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge, Sadiq Murad wa Mvomero (kushoto) na Salim Turky wa Jimbo la Mpendae (kulia) katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma Julai 5, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Kazi Vijana na Ajira na Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Julai 5, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma Julai 5, 2017 katikati ni Mbunge wa Lushoto Shaaban Shekilindi.

No comments:

Post a Comment