Matukio : Mufti Mkuu wa Tanzania Awasili Mkoani Kilimanjaro kwa Ajili ya Swala ya Eid El Fitri - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Saturday, 24 June 2017

demo-image

Matukio : Mufti Mkuu wa Tanzania Awasili Mkoani Kilimanjaro kwa Ajili ya Swala ya Eid El Fitri


DSC_7374
Mufti Mkuu wa Tanzania,Sheakh Aboubakary Zubeiry Ali akiwa na waliompokea katika lango la kutokea eneo la watu mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) alipowasili jana mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya Swala ya Idd El- Fitr inayotaraji kufanika kitaifa mkoani humo.
DSC_7388
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kilimajaro (KIA).
DSC_7396
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali akiteta jambo na Shekh Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).

DSC_7412
Gari maalumu kwa ajili ya Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali


DSC_7422
Msafara wa Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali ukitoka katika uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) .

DSC_7424
Gwaride la vijana katika kumpokea Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali



DSC_7440
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali akiwa na viongozi pamoja na waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya kuwasili mkoani Kilimanjaro.
DSC_7442
Baadhi ya wanawake wa Dini ya Kiislamu walipofika kwa ajili ya kumpokea Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali

DSC_7449
DSC_7452
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali akiwasili katika mmoja wa miskiti iliyopo wilayani Hai kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi.
DSC_7456
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali akifungua kitambaa katika jiwe la Msini kuashiria kuendelea kwa ujenzi wa jengo hilo litakalotumika kama Madrasa.


DSC_7468
Mapokezi mwakubwa kwa Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali



DSC_7499
Jengo la Ofisi za BAKWATA wilaya ya Hai ambalo Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali amefika kwa ajili ya uzinduzi wake.

DSC_7505
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali akisalimiana na waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya kuwasili katika ofisi za Bakwata wilaya ya Hai ka ajili ya ufunguzi wake.


DSC_7515
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali akisalimiana na waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya kuwasili katika ofisi za Bakwata wilaya ya Hai ka ajili ya ufunguzi wake.

DSC_7517
Furaha ya kutembelewa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali


DSC_7524
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali akizindua rasmi ofisi za BAKWATA wilaya ya Hai.
DSC_7534
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kufungua rasmi ofisi za BAKWATA wilaya ya Hai.


DSC_7547
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali akiondoka baada ya kufungua rasmi ofisi za BAKWATA wilaya ya Hai.



DSC_7549
Msikiti wa Masjid Shafi uliopo wilayani Hai
DSC_7559
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika msikiti wa Masjid Shafii kwa ajili ya uzinduzi.

DSC_7568
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali akikata utepe kuuzindua rasmi Msikiti wa Masjid Shafi uliopo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro.


DSC_7570
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Aliakizindua rasmi Msikiti wa Masjid Shafi uliopo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro.
DSC_7591
Katibu wa Bakwata wilaya ya Hai,Mwl Mohamed Mbowe akisoma risala mbele ya Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali wakati wa uzinduzi rasmi wa msikiti wa Masjid Shafi uliopo wilayani Hai.


DSC_7592
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali akipokea risala hiyo



DSC_7601
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ali akizungumza mara baada ya kuzindua Msikiti wa Masjid Shafi uliopo wilayani Hai.
Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *