
Baadhi ya wafanyakazi wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) wakiwa na furaha katika hafla ya kuwakaribisha iliofanyika makao makuu jijini Arusha.

Wafanyakazi wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) wakijitambulisha katika hafla ya kuwakaribisha iliofanyika makao makuu jijini Arusha.

Mmoja wa wafanyakazi wa EAC,Beata Mukabaranga(kushoto)akikaribishwa na kupokelewa na msimamizi wake katika eneo la kazi.

Mratibu wa Habari katika Sekretariat ya EAC,Florian Mutabazi(kushoto),Afisa Habari Mwandamizi wa bunge la Eala,Bob Odiko na wadau wengie wakiwa katika hafla ya kuwakaribisha wafanyakazi wapya wa jumuiya hiyo.

Mkurugenzi mpya wa Miundombinu wa EAC,Kamugisha Kazaura akitoa neno la shukrani

Wadau wa EAC wakipata mapochopocho
No comments:
Post a Comment