Matukio /Bungeni : Yaliyojiri Bungeni Leo Mjini Dododma - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Monday, 12 June 2017

demo-image

Matukio /Bungeni : Yaliyojiri Bungeni Leo Mjini Dododma


PIX+1+Chenge
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge akiongoza kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX+2+Mhe.Mavunde
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX+3+Prof+Ndalichako
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof Joyce Ndalichako akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX+4+Mhe.Jafo
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX+5+Mhe.Ngonyani
Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX+6+Mhe.Ole+nasha
Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX+7+Mhe.Manyanya
Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe. Eng Stella Manyanya akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX+8+Mhe.Mwigulu
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu Nchemba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX+9+Sixtus+Mapunda
Mbunge wa Mbinga Mjini(CCM) Mhe. Sixtus Mapunda akiuliza swali katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX+10+Mhe.Maghembe+na+Kolimba
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne Maghembe akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dk Susan Kolimba katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX+11+Mhe.Mgimwa
Mbunge wa Kalenga (CCM) Mhe. Godfrey Mgimwa akiuliza swali katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX+12+Mhe.Kangi+lugola
Mbunge wa Mwibara (CCM) Mhe. Kangi Lugola akiuliza swali katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX+13+Mhe.Asha+Abdallah
Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mhe. Asha Juma akiuliza swali katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX+14+Mhe.Jenista+na+Mabula+Angela
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira,Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Makazi katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
PIX+16+watoto+wa+shule
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Holy Trinity English Medium kutoka Mkoani Dodoma wakiwa Bungeni kwa ajili ya kujifunza shughuli mbalimbali katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.


Picha zote na Daudi Manongi, MAELEZO, DODOMA.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *