Maisha : Wanawake wa Kanisa la Pentekoste Tanzania Wafanya Kongamano la Tatu, Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


22 Jun 2017

Maisha : Wanawake wa Kanisa la Pentekoste Tanzania Wafanya Kongamano la Tatu, Jijini Dar



Askofu Saldonie Simon Sinde akiwasalimia Wakina mama katika Kongamano la Tatu la Wanawake wa Muungano wa Makani ya Pentekoste Tanzania (UW-MMPT), lililoanza Katika Kanisa hilo Sinza Afrika Sana Dar es Salaam jana. Askofu Sinde pia alivitambulisha vitabu vyake viwili alivyoviandika.

Mama Askofu, Obedi Fabian, Ruth Obedi akizungumza katika kongamano hilo.

Maaskofu wa Kanisa hilo wakionesha kitabu cha Mbinu ya Kufundisha Watoto kilichoandikwa na Askofu Sinde (wa kwanza kushoto), ambacho kinauzwa shilingi 8000. Kutoka kulia ni Askofu Obeid Fabian Hofi, Eliezar Isacka Mauge, Methusela John Mperana Askofu, Erasto Makala.




Naibu Katibu Mkuu wa Misheni, Joyce Innocent akisherehesha kongamano hilo.


Kongamano likiendelea.

Wakina mama wakiwa kwenye kongamano hilo.

Usikivu katika kongamano hilo.

Taswira katika kongamano hilo.

Maombi yakifanyika.

Kwaya ya Praise Team ikitoa burudani ya nyimbo za kusifu.

Viongozi wa muungano wa wanawake wa Kanisa hilo.

Viongozi hao wakionesha mshikamano.

Furaha katika Kongamano hilo. (Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad