Matukio / Zanzibar : Taswira mbalimbali Rais Shein Alivyotembelea Bandari ya Djibouti - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.

Post Top Ad

11 May 2017

Matukio / Zanzibar : Taswira mbalimbali Rais Shein Alivyotembelea Bandari ya DjiboutiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Ukaguzi Nd.Mohamoud Houssein (wa pili kushoto) wakati alipotembelea katika Bandari ya Doraleh Container Terminal jana,ambayo ni maalum kwa upokeaji wa Makontena kutoka kwenye meli mbali mbali zinazowasili katuika Bandari hiyo,akiwa katika ziara ya kiserikali chini Djibouti na ujumbe aliofuanata nao.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Bandari ya Doraleh Container Terminal jana ambayo ni maalum kwa upokeaji wa Makontena kutoka kwenye meli mbali mbali zinazowasili katika Bandari hiyo, alipotembelea akiwa katika ziara maalum ya kiserikali nchini Djibouti akiwa na ujumbe aliofuanata nao

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Bandari ya Doraleh Container Terminal jana ambayo ni maalum kwa upokeaji wa Makontena kutoka kwenye meli mbali mbali zinazowasili katika Bandari hiyo, alipotembelea akiwa katika ziara maalum ya kiserikali nchini Djibouti akiwa na ujumbe aliofuanata nao.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Ukaguzi Nd.Mohamoud Houssein (katikati) mara baada ya mapokezi alipotembelea katika Bandari ya Doraleh Container Terminal jana ambayo ni maalum kwa upokeaji wa Makontena kutoka kwenye meli mbali mbali zinazowasili katika Bandari hiyo, alipotembelea akiwa katika ziara maalum ya kiserikali nchini Djibouti akiwa na ujumbe aliofuanata nao terehe 08/05/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakipata maelezo kutoka kwa Mtaalam wa Mashine karika Bandari ya Doraleh Container Terminal jana ambayo ni maalum kwa upokeaji wa Makontena kutoka kwenye meli mbali mbali zinazowasili katika Bandari hiyo, Dk.Shein yupo nchini Djibouti katika ziara maalum ya kiserikali akiwa na ujumbe aliofuanata nao

Makontena yenye mizogo mbali mbali yakiwa katika eneo maalum lililotengwa na kuwekwa katika Bandari ya Doraleh Container Terminal nchini Djibouti ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake jana walitembelea eneo hilo akiwa katika ziara maalum ya kiserikali.

Mashine za kuchukulia Makontena katika meli zinazofunga gati katika Bandari ya Doraleh Container Terminal nchini Djibouti ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake jana walitembelea eneo hilo akiwa katika ziara maalum ya kiserikali.

Makontena yenye mizogo mbali mbali yakiwa katika eneo maalum lililotengwa na kuwekwa Mizigo mbali mbali katika Bandari ya Doraleh Container Terminal nchini Djibouti ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake jana walitembelea eneo hilo katika ziara maalum ya kiserikali.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisalimiana na Mkuu wa Bandari ya Djibouti Bw, Saad Omar Guelleh mara alipowasili katika Bandari ya Doraleh Multipurpose nchini Djibouti akiwa katika ziara maalum ya kiserikali alitembelea jana akiwa na ujumbe wake,(kushoto) Waziri wa Vifaa na Usafirishaji Mhe.Mohamed Abdoulkader Moussa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akitambulishwa na Mkuu wa Bandari ya Djibouti Bw,Saad Omar Guelleh (katikati) kwa viongozi wakati aliposalimiana nao jana wakati alipotembelea katika Bandari ya Doraleh Multipurpose nchini Djibouti akiwa katika ziara maalum ya kiserikali na ujumbe wake,(kushoto) Waziri wa Vifaa na Usafirishaji Mhe.Mohamed Abdoulkader Moussa.

(Picha na Ikulu)

Post Top Ad