Matukio : Prof. Sospeter Muhongo Ajiuzulu Nafasi ya Uwaziri wa Nishati na Madini - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


24 May 2017

Matukio : Prof. Sospeter Muhongo Ajiuzulu Nafasi ya Uwaziri wa Nishati na Madini

 Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo Ajiuzulu nafasi hiyo Mara baada ya Rais Magufuli kumtaka Afanye hivyo , hilo limetokea baada ya kupokea taarifa ya kamati ya Kuchunguza Mchanga wa Madini ( Makinikia ) uliokuwa unasafirishwa nje ya nchi.
Barua ya Kujiuzulu Nafasi hiyo.

Post Top Ad