Michezo : Manchester United Yaibamiza Chelsea kwa Bao 2 - 0 - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


17 Apr 2017

Michezo : Manchester United Yaibamiza Chelsea kwa Bao 2 - 0



Marcus Rashford akipongezwa na Mchezaji mwenzake mara baada ya kufunga goli la Kwanza ndani ya dakika 7 ya Mchezo, Huku goli la pili likifungwa na Ander Herrera katika dakika ya 49 , hivyo kupelekea msiba kwa "The Blues" Chelsea FC wa bao 2 kwa sufuri....!

Antonio Valencia wakipambana na Ng'olo Kante


Kocha wa Manchester United Jose Mourinho ametamba kuwa Wamewadhibiti Vilivyo timu hiyo pinzani ya Chelsea fc wanaoongoza kwenye ligi ya Uingereza.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad