Muziki na Burudani : Red-Carpet ya Usiku wa Love, Melodies and Lights Ulivyofana - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


21 Feb 2017

Muziki na Burudani : Red-Carpet ya Usiku wa Love, Melodies and Lights UlivyofanaUsiku wa Love Melodies and Lights ulioandaliwa maalum kwa ajili ya kuisherehekea siku ya wapendanao (Valentine’s day) ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 14 ya mwezi wa pili kila mwaka, na kwa kulitambua hilo, Wasanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya "bongofleva" ambao ni Ben Pol, Baraka The Prince na Jux walizikonga nyoyo za mashabiki wao vilivyo katika usiku huo, uliofanyika katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam.

MC Pilipili akiweka sawa mbavu za wageni mbalimbali waliofika katika Usiku wa Love Melodies and Lights.
Msanii Jux akifanya yake jukwaani katika Usiku wa Love Melodies and Lights.

Ben Pol kazini.

Post Top Ad