Matukio : Mhadhara wa 8 wa Kisayansi Wafanyika ,Mikocheni - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.

Post Top Ad

7 Feb 2017

Matukio : Mhadhara wa 8 wa Kisayansi Wafanyika ,Mikocheni

Dokta Winnie Mpanju-Shumbusho akitoa mada kwenye mhadhara wa 8 wa Kisayansi kuhusu Uimarishaji wa Mifumo ya Utoaji Huduma za Afya na Uzuiaji wa Magonjwa kwenye nchi za Kiafrika katika Zama za Maendeleo Endelevu wakati wa Maadhimisho ya 18 ya Kumbukizi ya hayati, Prof. Hubert Kairuki jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).

Dokta Winnie Mpanju-Shumbusho akitoa mada kwenye mhadhara wa 8 wa Kisayansi kuhusu Uimarishaji wa Mifumo ya Utoaji Huduma za afya na Uzuiaji wa Magonjwa kwenye nchi za Kiafrika katika Zama za Maendeleo Endelevu wakati wa maadhimisho ya 18 ya kumbukizi ya hayati, Prof. Hubert Kairuki jijini Dar es Salaam.
Dokta Winnie Mpanju-Shumbusho akitoa mada.
Prof. Moshi Ntabaye akizungumza katika mhadhara huo.
Prof. Moshi Ntabaye akizungumza katika mhadhara huo.
Baadhi ya washiriki.
Prof. Moshi Ntabaye akizungumza katika mhadhara huo.
Baadhi ya washiriki.
Baadhi ya washiriki wa mhadhara wa 8 wa Kisayansi kuhusu Uimarishaji wa Mifumo ya Utoaji Huduma za afya na Uzuiaji wa Magonjwa kwenye nchi za Kiafrika katika Zama za Maendeleo Endelevu.
Baadhi ya washiriki wa mhadhara huo.
Baadhi ya washiriki wa mhadhara wa 8 wa Kisayansi kuhusu Uimarishaji wa Mifumo ya Utoaji Huduma za afya na Uzuiaji wa Magonjwa kwenye nchi za Kiafrika katika Zama za Maendeleo Endelevu.
Washiriki wa mhadhara wa 8 wa Kisayansi kuhusu Uimarishaji wa Mifumo ya Utoaji Huduma za afya na Uzuiaji wa Magonjwa kwenye nchi za Kiafrika katika Zama za Maendeleo Endelevu.
Dokta Winnie Mpanju Shumbusho akitoa mada.
Baadhi ya washiriki wa mhadhara wa 8 wa Kisayansi kuhusu Uimarishaji wa Mifumo ya Utoaji Huduma za afya na Uzuiaji wa Magonjwa kwenye nchi za Kiafrika katika Zama za Maendeleo Endelevu.
Washiriki wa mhadhara huo wakisikiliza mada.

Post Top Ad