Taarifa Kwa Umma : Anuani ya Ofisi ya Waziri Mkuu Imebadilika - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


31 Jan 2017

Taarifa Kwa Umma : Anuani ya Ofisi ya Waziri Mkuu Imebadilika



Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.




JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA








OFISI YA WAZIRI MKUU



Anwani ya Simu: “WAZIRIMKUU” S.L.P. 3021
DAR ES SALAAM DAR ES SALAAM

Simu Nambari 2117249/56 2Barabara ya Magogoni

Fax: 2112850

Barua pepe: ps@pmo.go.tz

Tovuti:www.pmo.go.tz 11410 DAR ES SALAAM





TAARIFA KWA UMMA



Ofisi ya Waziri Mkuu inapenda kuwatangazia Umma wa Watanzania pamoja na Wadau wake wote kwa ujumla kwamba, kuanzia Tarehe 1/2/2017 Anuani ya Ofisi ya Waziri Mkuu itakayo tumika ni S.L.P. 980 DODOMA na SIMU: 026 2322480 Barua pepe: ps@pmo.go.tz. Badala ya Anuani ya sasa Ambayo ni S.L.P 3021 DSM.



Hii ni kutokana na Viongozi na Watendaji Wakuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu kuhamia Makao Makuu ya Serikali Dodoma.



Karibuni Dodoma



IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI

OFISI YA WAZIRI MKUU



31/1/2017

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad