Matukio :Waziri Mkuu, Majaliwa Akutana na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 24 January 2017

Matukio :Waziri Mkuu, Majaliwa Akutana na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, kwenye makazi yake Oysterbay jijini Dar es salaam Januari 24, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Beng'i Issa akitoa taarifa ya Baraza hilo katika kikao kati ya Baraza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kilichofanyika kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Januari 24, 2017

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, John Jingu akitoa maelezo kuhusu Baraza hilo katika kikao kati ya Baraza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kilichofanyika kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Januari 24, 2017.



Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na watumishi wa Baraza hilo wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye makazi yake , Oysterbay jijini Dar es salaam Januari 24, 2017

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi baada ya kuzungumza nao kwenye makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam Januari 24, 2017.

No comments:

Post a Comment