Matukio : Katibu wa Arusha Press Club Afunga Pingu za Maisha - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


10 Jan 2017

Matukio : Katibu wa Arusha Press Club Afunga Pingu za MaishaKatibu wa Arusha Press Club Amir Mongi akiwa na mkewe siku ya ndoa yao katika ukumbi wa Mamba Complex Marangu Mkoani Kilimanjaro.

Bi Munira mke halali wa Amir Mongi akiwa na mumewe Amir Mongi siku ya sherehe ya ndoa yao jumamosi katika ukumbi wa Mamba Complex Marangu mkoani Kilimanjaro.
Amir Mongi akimvisha pete mewe Munirah Bawaziri siku ya ndoa yao ,katika sherehe iliyofayika kwenye ukumbi wa Mamba Complex Marangu Kilimanjaro januari 2017.
Katibu wa Arusha Press Club Amir Mongi akivishwa pete na mkewe Munirah Bawaziri katika sherehe ya ndoa yao ,iliyofanyika katika ukumbi nwa Mamba Complex Marangu Mkoani Kilimanjaro.
Amiri Mongi akimkumbatia mkewe Munirah Bawazir .
Maharusi wakiwa wanapata chakula pamoja na waandishi wa habari kuroka Jiji la Arusha.
Sherehe inaendelea.

MC Kiko akiwa anateta jambo na mmoja wa wazee wa upande wa bwana harusi katika sherehe hiyo,ambapo naye alikuwa msema chochote siku hiyo.
Pongezi mbalimbali zikiendelea kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki.

Post Top Ad