Zanzibar : Rais Dk. Shein Azindua mradi wa Ujenzi, Fumba - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.

Post Top Ad

10 Jan 2017

Zanzibar : Rais Dk. Shein Azindua mradi wa Ujenzi, Fumba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa wakati alipofika kuzindua Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu katika maeneo huru ya Uchumi huko Fumba Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi leo, sambamba na uwekaji wa jiwe la msingi nyumba za kuishi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Viongozi wa Kampuni ya Azam Group wakati alipofika kuzindua Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu katika maeneo huru ya Uchumi huko Fumba Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi leo, sambamba na uwekaji wa jiwe la msingi nyumba za kuishi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa wakati alipofika kuzindua Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu katika maeneo huru ya Uchumi huko Fumba Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi leo, sambamba na uwekaji wa jiwe la msingi nyumba za kuishi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Miongoni mwa nyumba za kisasa zinazoendelea kujengwa katika mradi wa Ujenzi wa Miundombinu katika maeneo huru ya Uchumi huko Fumba Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi , sambamba na uwekaji wa jiwe la msingi nyumba za kuishi zilizozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na baadhi ya viongozi waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu katika maeneo huru ya Uchumi huko Fumba Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi leo, sambamba na uwekaji wa jiwe la msingi nyumba za kuishi ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia majarida yenye michoro inayohusiana na Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu katika maeneo huru ya Uchumi huko Fumba Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi leo, sambamba na uwekaji wa jiwe la msingi nyumba za kuishi baada ya kuzindua mradi huo rasmi ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Maafisa mbali mbali wa taasisi za Serikali na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu katika maeneo huru ya Uchumi huko Fumba Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi leo, sambamba na uwekaji wa jiwe la msingi nyumba za kuishi ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Mwakilishi wa Kampuni ya BakhresaGroup of Companies Bw.Salim Aziz akitoa maelezo kuhusu mradi wa Fumba Sattelite City ambao utajenga Mji wa Kisasa wenye hadhi ya kimataifa wakati wa Uzinduzi wa Mradi huo uliozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein huko Fumba Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi , sambamba na uwekaji wa jiwe la msingi nyumba za kuishi ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad