Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), akishiriki Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Afrika (African Union Bureau of Assembly) kilichofanyika kwa njia ya mtandao, tarehe 26 Machi, 2026, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar.
AGA KHAN UNIVERSITY YAWAKUTANISHA WADAU KUJADILI MUSTAKABALI WA UANDAAJI
WALIMU
-
Na Avila Kakingo
CHUO Kikuu cha Aga Khan kupitia Taasisi ya Maendeleo ya Elimu Afrika
Mashariki (IED, EA), kimewakutanisha waelimishaji wa walimu, watun...
3 hours ago
.jpeg)

.jpeg)
No comments:
Post a Comment