#FlavianaMatata : Lavy Workshop yaandaa semina Kwa Wote Wanaotumia Bidhaa Za Lavy - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 18 January 2017

#FlavianaMatata : Lavy Workshop yaandaa semina Kwa Wote Wanaotumia Bidhaa Za Lavy




Kampuni ya bidhaa za kucha, Lavy iliandaa semina kwa ajili ya baadhi ya watengeza kucha wanaotumia bidhaa zao ili kufundishana mawili matatu kuhusu bidhaa hizo na sekta nzima inayohusu masuala ya kucha. Semina hii ilifunguliwa rasmi na Naibu Waziri wa Afya, Dk. Kigwangala.


Changamoto kwenye sekta hii ni nyingi kuanzia kwenye bidhaa, utengenezaji wa kucha, sehemu husika za kutengeneza kucha pamoja na watengeneza kucha wenyewe.Mbali na Lavy kuelimisha matumizi sahihi ya bidhaa zao pia imegusia changamoto nyingine nyingi zikiwepo usafi na usanifu na sekta hii.


Mh. Doctor Kigwangala akizawadiwa notebook kwa ajili yake na bidhaa za Lavy kwa ajili ya Mke wake.

Flaviana Matata akitoa somo kuhusu usafi wa vifaa na saluni kwa ujumla, huku akigusia kuhusu huduma bora kwa wateja itakayokua chachu ya kuongeza mapato ya saluni na idadi ya wateja.

Wakipokea vyetu vya kuhudhuria semina ya Lavy workshop.
(Certificate of participation)


No comments:

Post a Comment