Elimu : Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la NNE 2016 Yametangazwa Rasmi. - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


15 Jan 2017

Elimu : Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la NNE 2016 Yametangazwa Rasmi.


Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk Charles Msonde amesema jumla ya wanafunzi 435,075 walioandikishwa kufanya mtihani huo kati yao wasichana ni 189,161 na wavulana ni 183,067.









BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO DARASA LA NNE


BOFYA HAPA KWA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 

Kwa ufupi


Kiwango hicho cha ufaulu kimeongezeka kwa asilimia 2 ikilinganishwa na asilimia 89.12 ya wanafunzi waliofaulu mtihani huo mwaka jana.


Dar es Salaam. Baraza la Mtihani la Taifa, (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha pili, ambapo wanafunzi 372,228 (kati ya 435,075) wamefaulu sawa na asilimia 91.02.


Kiwango hicho cha ufaulu kimeongezeka kwa asilimia 2 ikilinganishwa na asilimia 89.12 ya wanafunzi waliofaulu mtihani huo mwaka jana.


Akitangaza matokeo hayo Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk Charles Msonde alisema jumla ya wanafunzi 435,075 walioandikishwa kufanya mtihani huo kati yao wasichana ni 189,161 na wavulana ni 183,067.


Dk Msonde alisema ufaulu umeongezeka mwaka huu katika masomo ya msingi na wanafunzi wamefanya vizuri zaidi kwenye somo la kiswahili.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad