Matukio : Usiku wa Zubeir Imani na Zawadi Mohamed Wafana - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


25 Dec 2016

Matukio : Usiku wa Zubeir Imani na Zawadi Mohamed WafanaBw. Harusi Zubeir Imani na mkewe, Bi. Zawadi Mohamed wakiyarudi magoma wakati walipokuwa wakiingia ukumbini katika tafrija maalum ya kuwapongeza kwa kuungana kwao, iliyofanyika katika ukumbi wa Kilimanjaro uliopo Viwanja vya Sabasaba, Jijini Dar es salaam jana Desemba 24, 2016.


Bw. Harusi Zubeir Imani na mkewe, Bi. Zawadi Mohamed wakiyarudi magoma.

Maharisi wakiingia ukumbini.

Mama Mkubwa wa Bwana Harusi akizingumza machache baada ya dua ya ufunguzi wa shughuli hiyo.

Maharusi wakifungua muziki huku wakiwa wamezungumwa na wapambe wao.

Bw. Harusi Zubeir Imani na mkewe, Bi. Zawadi Mohamed wakikata keki huku wapambe wao wakishuhudia tukio hilo.

Maharusi wakilishana keki kwa mtindo wao.

Post Top Ad