Michezo : Salim Zagar achaguliwa Mwenyekiti wa Klabu ya Pan Africa, Shaban Kessi Mtambo Makamu - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 6 November 2016

Michezo : Salim Zagar achaguliwa Mwenyekiti wa Klabu ya Pan Africa, Shaban Kessi Mtambo Makamu


 Katibu wa muda Bw. Peter Mushi  akifafanua jambo katika mkutano mkuu wa klabu ya Pan Africa uliofanyika hoteli ya Falcon Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo.
 Katibu wa muda Bw. Peter Mushi akisoma matokeo ya uchaguzi wa uongozi wa Pan Africa uliosimamiwa na kamati ya uchaguzi  pembeni yake ambayo ni toka kushoto  Sunday Manara "Computer:, Mzee Chombinga, Mzee Muhidini Ndolanga na Mzee Mtulia
 Katibu wa muda Bw. Peter Mushi  akifafanua jambo baada ya uchaguzi katika mkutano mkuu wa klabu ya Pan Africa uliofanyika hoteli ya Falcon Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo.Nyuma yake kutoka kulia ni viongozi hao wapya ambao ni Salim Zagar (Mwenyekiti) Shabani Kessi Mtambo (Makamu Mwenyekiti) na wajumbe Kepteni Davis Malikita, Salum Carlos Mwinyimkuu na Mohamed Mkweche
 Sehemu ya wanachama wakiwa katika mkutano mkuu uliofanyika hoteli ya Falcon Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo.
  katika mkutano mkuu uliofanyika hoteli ya Falcon Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo.
  katika mkutano mkuu uliofanyika hoteli ya Falcon Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo.
  katika mkutano mkuu uliofanyika hoteli ya Falcon Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo.
 Mwenyekiti mpya wa Pan Africa Bw. Salim Zagar akiongea machache na kushukuru kwa kuchaguliwa kuongoza klabu hiyo kongwe nchini katika mkutano mkuu uliofanyika hoteli ya Falcon Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo.

 Mwenyekiti Salim Zagar
 Makamu Mwenyekiti Shabani Kessi Mtambo
Mohamed Mkweche - Mjumbe
Salum Carlos Mwinyimkuu - Mjumbe

 Mzee Said Mohamed Said - Mjumbe
 Kepteni Davis Malikita - Mjumbe

No comments:

Post a Comment