VODACOM TANZANIA YAWAHAMASISHA WABUNGE MJINI DODOMA KUJIUNGA NA MALIPO YA BAADA. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 26 June 2012

VODACOM TANZANIA YAWAHAMASISHA WABUNGE MJINI DODOMA KUJIUNGA NA MALIPO YA BAADA.

 
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Salvatory Machemli (Ukerewe - Chadema) na Danstan Mkapa (Nanyumbu - CCM) wakielezewa na Afisa wa Vodacom Tanzania Bi.Melinda Siarra,jinsi ya kujiunga na mpango wa malipo ya baada ya kampuni hiyo katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Vodacom inaendesha zoezi maalum la kuwahamasisha wabunge kujiunga na mpango wa mteja mmoja mmoja wa malipo ya baada katika juhudi za kujiimarisha kisoko.
Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wakifafanuliwa jambo na Meneja wa wateja wa  Malipo ya baada wa Vodacom Tanzania Bi. Yvone Bayona,jinsi ya kujiunga na mpango wa malipo ya baada ya kampuni hiyo katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Vodacom inaendesha zoezi maalum la kuwahamasisha wabunge kujiunga na mpango wa mteja mmoja mmoja wa malipo ya baada katika juhudi za kujiimarisha kisoko.
Na haki ngowi blog

No comments:

Post a Comment