Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Wawekezaji kutoka Kampuni ya Ansari Group Limited ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo Dr. Sania Ansari (wa pili kutoka kulia) mara baada ya Mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 02 Oktoba 2024. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Uwekezaji Dr. Tausi Kido.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na na Mwenyekiti wa Kampuni ya Ansari Group Limited ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Dr. Sania Ansari mara baada ya Mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 02 Oktoba 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Wawekezaji kutoka Kampuni ya Ansari Group Limited ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo Dr. Sania Ansari. Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 02 Oktoba 2024.
No comments:
Post a Comment