Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey
Mwanri baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tabora akieleke
Urambo khudhuria mazishi ya Spika Mstaafu, Samuel Sitta, Novemba 12,
2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimaina na Viongozi wa Serikali wa mkoa wa
Tabora, Viongozi wa Vyama vya siasa na dini baada ya kuwasili kwenye
uwanja wa ndege wa Tabora akiwa njiani kwenda Urambo kwenye mazishi ya
Spika Mstaafu, Samuel Sitta
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa
la Ufufuo na Uzima baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tabora.
Wote walikuwa wakienda Urambo kushiriki mazishi ya Spika Mstaafu, Samuel
Sitta.
Mke
wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo bada
ya kuwasili nyumbani kwa marehemu, Spika Mstaafu Samuel Sitta, Urambo
mkoani Tabora ambako alishiriki mazishi
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimfariji mjane wa marehemu Spika Mstaafu,
Samuel Sitta baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu, Urambo Tabora kwa
mazishi
Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimiana na baadhi ya
wanafamilia na ndugu wa marehemu Spika Mstaafu, Samuel Sitta bada ya
kuwasili nyumbani kwa marehemu Urambo mkoani Tabora kwa mazishi
Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimiana na baadhi ya
wanafamilia na ndugu wa marehemu Spika Mstaafu, Samuel Sitta bada ya
kuwasili nyumbani kwa marehemu Urambo mkoani Tabora kwa mazishi
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa zamani wa Busega na
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Titus Kamani ambaye sasa ni Mwenyekiti
wa CCM wa mkoa wa Simiyu katika mazishi ya Spika Mstaafu Samuel Sitta
yaliyofanyika Urambo Tabora, Novemba 12, 2016. Kulia kwake ni Spika wa
Bunge Job Ndugai na kushoto kwake ni Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey
Mwanri.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi
(CUF), Profesa Ibrahim Lipumba katika mazishi ya Spika Mstafu, Marehemu
Samuel Sitta, Urambo mkoani Tabora
Maaskofu na wachungaji wakiuombea mwili wa Spika Mstaafu, Marehemu Samuel Sitta kabla ya mazishi yaliyofanyia Urambo Tabora.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakitoa heshima za mwisho kwa Spika
Mstaafu, marehemu Samuel Sitta kabla ya mazishi yake yaliyofanyika
Urambo mkoani Tabora
Bibi
Kagoli Fundikira ambaye ni Mama Mzazi wa Spika Mstafu , marehemu Samuel
Sitta akiongozwa na Mgalula Fundikira kwenda kwenye kaburi la mwanae
katika mazishi yaliyofanyika Urambo.
Mjane
wa Marehemu Spika Mstaafu, Margareth Sitta, Mama Mzazi wa marehemu, na
watoto wa marehemu wakigusa jeneza na kushuhudia wakati mwili wa
marehemu Samuel Sitta ulipoteremshwa kaburini katika mazishi
yaliyofanyika urambo, Tabora.
Mjane
wa Marehemu Spika Mstaafu, Margareth Sitta, Mama Mzazi wa marehemu, na
watoto wa marehemu wakigusa jeneza na kushuhudia wakati mwili wa
marehemu Samuel Sitta ulipokuwa ukiteremshwa kaburini katika mazishi
yaliyofanyika urambo, Tabora.
Mjane
wa Marehemu Spika Mstaafu, Margareth Sitta, Mama Mzazi wa marehemu, na
watoto wa marehemu wakigusa jeneza na kushuhudia wakati mwili wa
marehemu Samuel Sitta ulipoteremshwa kaburini
Bibi
Kagoli Fundikira ambaye ni Mama Mzazi wa marehemu Spika Mstaafu Samuel
Sitta akitupa udongo kwenye kaburi la mwanane katika mazishi
yaliyofanyika Urambo, Tabora
Mama
Margareth Sitta ambaye ni Mjane wa marehemu Spika mstaafu, Samuel
Sitta akitupa udongo kwenye kaburi la mumewe katika kazishi
yaliyofanyika Urambo
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa wakitupa udongo
kwenye kaburi la Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta katika mazishi
yaliyofanyika Urambo
Viongozi
wa Vyama vya siasa na serikali pamoja na wanafamilia wakiweka udongo
kwenye kaburi la Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta katika mazishi
yaliyofanyika Urambo.
Maaskofu
walioshiriki katika ibada ya mazishi ya Spika Mstaafu, marehemu Samuel
Sitta wakiweka shada la maua kwenye kaburi katika mazishi yaliyofanyika
Urambo.
Mama
Margareth Sitta ambaye ni mjane wa Spika Mstafu, marehemu Samuel Sitta
akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe katika mazishi
yaliyofanyika Urambo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta
Spika wa Bunge, Job Ndugai akiweka shada la maua kwenye kaburi la Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na familia ya Spika Mstaafu marehemu Samuel Sitta baada ya mazishi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na familia ya Spika Mstaafu marehemu Samuel Sitta baada ya mazishi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na familia ya Spika Mstaafu marehemu Samuel Sitta baada ya mazishi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na maaskofu walioshiriki katika ibada ya mazishi ya Spika Mstaafu, Samuel Sitta
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na maaskofu walioshiriki katika ibada ya mazishi ya Spika Mstaafu, Samuel Sitta.
Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akimpa pole Mama wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sitta, Hajjat Zuwena Fundikira.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson akiweka shada la maua katika Kaburi la aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sitta. |
No comments:
Post a Comment