Matukio : Wadau wa Shughuli za usafiri wa anga nchini waadhimisha siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza ndege ( ATSEP) - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


13 Nov 2016

Matukio : Wadau wa Shughuli za usafiri wa anga nchini waadhimisha siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza ndege ( ATSEP)


Wadau mbalimbali wa shuguli za usafiri wa anga nchini, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya usfiri wa anga Tanzania,Hamza Johari,(watatu kutoka kulia) wakimsikilza kwa makini mhandisi wa  mitambo ya kuongozea ndege ya  DVOR+DME , Kelvin Mwakalobo wakati walipofanya ziara  kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA)  jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza  ndege (CELEBRATION OF AIR TRAFFIC SAFETY ELECTRONICS PERSONNEL'S DAY - ATSEP- )
Mkurugenzi Mkuu wa Mamalaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza Johari akiwa na wafanyakazi wenzake wakimsikiliza mtaalam wa mitambo ya kuongozea ndege ya  DVOR+DME , mhandisi ,Kelven Mwakalobo (kulia)wakati walipofanya ziara   kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA)  jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza  ndege.
 Mhandisi wa mitambo ya kuongozea ndege  ili iweze kutua kwa usalama( AWOS) James Mjema  akimuonesha Mkurugenzi Mkuu  wa Mamlaka ya Usafiri wa anga Tanzania Hamza Johari (kushoto) namana mtambo  unavyofanya kazi   wakati walipofanya ziara  kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JANIA)  jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza  ndege,wengine ni watumishi wa idara ya uhandisi.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamalaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza Johari  (wapili kushoto) pamoja na wadau mbalimbali wa usafiri a anga nchini   wakimsikiliza  mhandisi wa mitambo ya kuongea ndege  ili iweze kutua kwa usalama( AWOS) James Mjema ,wakati walipofanya ziara   kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA)  jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza  ndege.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamalaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza Johari  ( kushoto) pamoja na wadau mbalimbali wa usafiri a anga nchini   wakimsikiliza  mhandisi wa mtambo wa kuongozea ndege wa Rada  Marco Omari ,wakati walipofanya ziara   kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA)  jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza  ndege.
 Wadau wa shuguli za usafiri wa anga nchini, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania,Hamza Johari,(wapili kushoto) wamsikiliza  kwa makini mhandisi wa mtambo wa  kuongozea ndege wa Localiser , Francis Charles , wakati walipofanya ziara   kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA)  jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza  ndege.
  Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania, Hamza Johari kitoa ushauri juu ya kuendeleza ufanisi wa  mtambo wa  kuongozea ndege wa Localiser 
Wadau wa shuguli za usafiri wa anga nchini katika picha ya pamoja wakati wa  maadhimisho siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza  ndege.

Post Top Ad