Matukio: Rais Dk. Magufuli amtembelea Mama Ngina Kenyatta , Nairobi Kenya - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


1 Nov 2016

Matukio: Rais Dk. Magufuli amtembelea Mama Ngina Kenyatta , Nairobi Kenya


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mama Ngina Kenyatta mama mzazi wa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati alipomtembelea nyumbani kwake Nairobi nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Mama Ngina Kenyatta mama mzazi wa Rais Uhuru Kenyatta pamoja na Rais Uhuru Kenyatta wakati alipomtembelea mama huyo nyumbani kwake Nairobi nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mama Ngina Kenyatta mama mzazi wa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati alipomtembelea nyumbani kwake Nairobi nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mama Ngina Kenyatta mama mzazi wa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati alipomtembelea nyumbani kwake Nairobi nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na Mama yake Rais Uhuru Kenyatta Mama Ngina Kenyatta jijini Nairobi nchini Kenya. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad