Mkurugenzi
wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani
akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge la
Jamhuri, Marehemu Samuel Sitta nyumbani kwa marehemu jijini Dar es
Salaam leo.Mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam
leo ukitokea nchini Ujerumani.
Mkurugenzi
wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani
akisalimia na mmoja wa watoto wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri
Marehemu Samuel Sitta baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu kutoa pole
ya msiba huo.
Mkurugenzi
wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani
akisalimiana na aliyekuwa Mbunge wa Tabora Mjini Ismail Aden Rage
alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri,
Marehemu Samuel Sitta
Mkurugenzi
wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani
akisalimiana na mmoja wa waombolezaji wa msiba wa Spika Mstaafu wa Bunge
la Jamhuri, Marehemu Samuel Sitta.
Mkurugenzi
wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani
akisalimiana na aliyekuwa Mbunge wa Tabora Mjini Ismail Aden Rage
alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri,
Marehemu Samuel Sitta.Picha na Hussein Makame, NEC
No comments:
Post a Comment