Basi Sawa ! : Bunge lapitisha rasmi Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016. - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


6 Nov 2016

Basi Sawa ! : Bunge lapitisha rasmi Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye alipokuwa akitoa hoja kabla Kamati ya Bunge zima kujadili Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 ambao umepitishwa mjini Dodoma.


Mwenyekiti wa Bunge Andrew Chenge akitoa maelekezo wakati wa mjadala wa Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 ili mjadala uwe na tija kwa maendeleo ya tasnia ya habari, wanahabari na taifa kwa ujumla.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Aannastasia Wambura akichangia hoja juu ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Watu wenye Walemavu Dkt. Possi Abdallah akichangia hoja juu ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016  mjini Dodoma.
Mhe. Saada Mkuya Salum akichangia hoja juu ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 leo mjini Dodoma.
Wabunge wakiwa kwenye mjadala wa Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 mjini Dodoma.
Baadhi ya Watendaji wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel (wa pili kushoto) wakifuatilia mjadala wa Wabunge wakati wa Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 mjini Dodoma.
Baadhi ya Watendaji wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel (wa pili kushoto) wakifuatilia mjadala wa Wabunge wakati wa Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 leo mjini Dodoma.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mjadala wa Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016  mjini Dodoma.
Baadhi ya wageni wakifuatilia mjadala wa Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016 mjini Dodoma.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye (wa nne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya watendaji wa Wizara hiyo mara baada ya kupitishwa Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa 2016  mjini Dodoma. Wa nne kulia Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO, Dodoma)

Post Top Ad