Select Menu

Matukio

News

Newspapers

Nishati

Jamii

Sports

News /Arusha

Technology

» » » » » Teknolojia :Kipindi cha Reggae Time Pride Fm Sept 17 2016.....Mahojiano na Innocent Galinoma


Karibu katika kipindi cha REGGAE TIME ya Pride Fm Mtwara Tanzania.
Na leo, ni mazungumzo yangu na Innocent Galinoma ambaye alikuwa mkarimu sana kufika Kilimanjaro Studios kwa mahojiano.

Ni kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki, mbili kamili kwa Marekani Mashariki
Jiunge nasi kupitia 87.8 Fm kwa mikoa ya kusini, ama www.878pridefm.com ama kupitia TuneIn, bofya tun.in/seTTx.

About Gadiola Emanuel

Freelance Journalist | Photographer | Blogger | ICT |PRO | Social Media Scholar. Check me on | Instagram: @wazalendo25blog | Twitter : @wazalendo25 | Facebook: Wazalendo 25 Blog
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply