Matukio : Yaliyojiri katika Eneo la Rujewa Mkoani Mbeya - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


2 Sept 2016

Matukio : Yaliyojiri katika Eneo la Rujewa Mkoani Mbeya


 Ulinzi na usalama uliimalishwa  katika eneo la Kupatwa kwa jua Rujewa Mkoani Mbeya.
Wakazi wa Rujewa Mkoani Mbeya na Biashara mbalimbali wakifanya biashara ya Matikiti katika eneo la Ludewa Mkoani humo.
 Wananchi wakiwa wameegesha Baiskeli zao mara baada kuwasili eneo ambapo jua linaoneka vizuri ambapo limepatwa.
 Wafanyabiashara wakiwa na biashara zao.

 Wananchi wakiwa wamefurika eneo la tukio. 
 Wananchi kutoka maeneo mbalimbali wakiwa katika eneo ambapo jua linaonekana vizuri.
Waendesha Pikipiki wakiwa wameegesha bodaboda zao eneo la rujewa.
Mamalishe wakiwahudumia wananchi mbalimbali waliojitokeza kuona kupatwa kwa jua rujewa Mkoani Mbeya.
 Wananchi mbalimbali wakipata chakula Rujewa. 




  
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akiwa katika eneo lake na kujionea kupatwa kwa jua Rujewa Mkoani Pwani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad