Zulia Jekundu ni kipindi cha televisheni cha kila wiki ambacho hukuletea habari mbalimbali za burudani zinazotamba. Humu utapata kujua juu ya habari za mastaa zinazogonga vichwa vya habari, kujua baadhi ya wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa wiki husika na hata filamu 5 zilizoongoza kwa mauzo katika wiki hiyo
Wiki hii, sikiliza alichosema Miley Cyrus, mabadiliko katika maisha ya mcheza sinema Natalie Portman,alichofanya Dada mdogo wa Kim Kardashian,kauli ya Zendaya juu ya ubaguzi wa rangi na pia Tay;or Swift na nyota wengine waliowabwaga wapenzi wao
KARIBU
Tarangire in a Heartbeat!
-
Big thanks to *Divine Eneja and Milou* for choosing Mobila Safaris for
their epic Tarangire day trip!
From the giant Baobabs to the massive ...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment