SIMU.TV:
Mkuu wa mkoa wa Dar Es salaam Paul Makonda, ameishauri TAMISEMI
kuwachukulia hatua wahusika wote walioshiriki katika mkataba usio wa
haki wa ujenzi Machinga Complex; https://youtu.be/tEH85noqFXA
SIMU.TV:
Rais Dr Magufuli ameiomba benki ya maendeleo ya Afrika ADB, kuendelea
kushirikiana na Tanzania katika ujenzi wa miundombinu mbalimbali ya
maendeleo;https://youtu.be/DDuBFzUtic4
SIMU.TV:
Waziri mkuu Kassim Majaliwa, ametoa siku 14 kwa serikali ya mkoa wa
Dodoma kutoa mpango kazi wa utekelezaji wa uamuzi wa serikali kuhamia
mkoani humo;https://youtu.be/C_aJWRdRnXI
SIMU.TV:
Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo, imefanikiwa kukamilisha zoezi la
utengenezaji wa madawati bila kutumia fedha za serikali wala
hamlashauri;https://youtu.be/KBButcakG2U
SIMU.TV:
Huduma ya usafiri wa umma mkoani Mwanza, ililazimika kusimama kidogo
kutokana na mgomo wa madereva uliosababishwa na malumbano baina yao na
askari polisi wa barabara; https://youtu.be/cTuw8oizgpY
SIMU.TV:
Katibu mkuu wa TAMISEMI Mhandisi Mussa Iyombe, amesema serikali
inajipanga kutumia mfumo wa Dijitali katika usajili wa sensa ya watu na
makazi kwa awamu ijayo; https://youtu.be/IANDQIU8Pxk
SIMU.TV: Mapato ya fedha kwa njia ya simu za mikononi, yameongezeka kwa asilimia 7 zaidi kulinganisha na mapato ya mwaka uliopita; https://youtu.be/Hk5NghXiXX4
SIMU.TV: Benki ya Posta Tanzania imetoa mikopo ya shilingi za kitanzania Bilioni 278 kwa makundi mbalimbali ya wajasiliamali nchini; https://youtu.be/FTTYUA5SQa0
SIMU.TV:
Maonyesho ya bidhaa za baharini yanatarajia kufanyika nchini China
mwezi ujao huku watanzania wakishauriwa kutumia fursa kwa ajili ya
kukuza masoko ya bidhaa zao;https://youtu.be/EvLxfhxBgOU
SIMU.TV:
Ndoto za klabu ya soka ya Yanga kutinga katika hatua ya Nusu Fainali
kombe la shirikisho barani Afrika, zinazidi kuzama baada ya kuruhusu
kufungwa mabao 3-1 na Medeama ya Ghana; https://youtu.be/F8nynm9OG4U
SIMU.TV:
Kocha mkuu wa timu ya Taifa, Taifa stars Charles Boniface Mkwasa, leo
ametangaza kikosi kitakachoingia kambini kujiwinda na mchezo wao dhidi
ya Nigeria;https://youtu.be/x8uZ_UHtCEE
SIMU.TV:
Shirikisho la mpira wa miguu Duniani FIFA, hatimaye limeongeza idadi ya
timu zitakazoshiriki michuano ya kombe la dunia kutoka 32 za awali
mpaka 40;https://youtu.be/WBp-1AcCTk4
SIMU.TV:
Jeshi la polisi mkoani Mwanza limelazimika kutumia mabomu ya machozi
kuwatawanya madereva wa daladala na makondakta waliokuwa wameziba
barabara.https://youtu.be/SOl3SJIHLUQ
SIMU.TV:
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU imewapandisha
kizimbani watu wawili kwa kosa la kugushi nyaraka za TRA na
kuisababishia serikali hasara.https://youtu.be/lcf04oZski4
SIMU.TV: Idara ya uhamiaji mkoani Mtwara imewakamata wahamiaji haramu 18 waliokuwa wakijaribu kuvuka mpaka wa Tanzania na Msumbiji.https://youtu.be/6djE_b7eh3A
SIMU.TV:
Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Dar es Salaam imebaini
ubadhirifu mkubwa wa fedha katika ujenzi wa jengo la Machinga complex.https://youtu.be/pxCrFVImjVU
SIMU.TV:
Mkuu wa mkoa wa mjini Magharibi ametoa wito kwa wadau mbalimbali
kujitokeza kuchangia madawati katika visiwa vya Zanzibar ili kumaliza
tatizo la upungufu wa madawati. https://youtu.be/62tQyYdqNs0
SIMU.TV:
Wanafunzi wa shule ya msingi Mongo la Ndege iliopo Ukonga jijini Dar es
Salaam wameushukuru mfuko wa bunge kwa kuwasaidia madawati.https://youtu.be/Cq8Z1WAKcAI
SIMU.TV:
Shule ya msingi Msanzi B inaelezwa kukabiliwa na uhaba wa madarasa ya
kusomea jambo ambalo linsababisha wanafunzi kuingia darasani kwa zamu.https://youtu.be/LFfN4pVoqbQ
SIMU.TV:
Rais Dr John Pombe Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na makamu wa
rais wa benki ya maendeleo ya Afrika AfDB na kuishukuru benki hiyo kwa
kushirikiana na Tanzania katika kutekeleza miradi ya maendeleo. https://youtu.be/cMQ6n2QnWkQ
SIMU.TV: Kampuni za simu hapa nchini zinakabiliwa na changamoto ya miundo mbinu ili kuwafikia wakazi wengi waishio maeneo ya vijijini. https://youtu.be/Oiu0LG-J_d8
SIMU.TV:
Mkuu wa wilaya ya Kyela mkoani Mbeya ameunda bodi ya zao la kakao ili
kuwasaidia wakulima katika masuala mbalimbali ya uzalishaji wa zao hilo.https://youtu.be/ww8yXR9bzLY
SIMU.TV: Kocha mkuu wa timu ya taifa Charles Boniface ametangaza kikosi kitakacho vaana na timu ya taifa ya Nigeria. https://youtu.be/HTZMAqU7XmU
SIMU.TV: Shirika la hifadhi za taifa nchini TANAPA limeamua kutumia michezo ya Olimpic kutangaza vivutio vilivyopo nchini Tanzania. https://youtu.be/cZ36DelVfOo
SIMU.TV: Warembo wanaowania taji la miss Dar Indian Ocean wametemelea kampuni ya Africa media group ili kujionea inavyofanya kazi. https://youtu.be/6co56bCaalk
SIMU.TV: Aliyekua mchezaji wa Liverpool Joh Allen ameihama timu hiyo na kujiunga na klabu ya Stoke City. https://youtu.be/HMJ6PV9nuaw
No comments:
Post a Comment