Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla mwenye suti ya kaki akitembezwa na mwenyeji wake Mkurugenzi
wa kampuni ya Pandahil limited ndg Derick ambayo ndiyo inahusika na uchimbaji wa madini ya
adimu aina ya Niobium ambayo hutumika kutengeneza Ndege na computer
katika eneo la Songwe Gerezani Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya .(Picha
E.madafa, D.Nyembe)
|
Mkurugenzi
wa kampuni ya Pandahil limited ndg Derick ambayo ndiyo inahusika na uchimbaji wa madini ya
adimu aina ya Niobium ambayo hutumika kutengeneza Ndege na computer
katika eneo la Songwe Gerezani Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya
akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla aneo ambalo litachimbwa
madini hayo.
|
Ramani ya mradi
|
Mkurugenzi
wa kampuni ya Pandahil limited ndg Derick ambayo ndiyo inahusika na uchimbaji wa madini ya
adimu aina ya Niobium ambayo hutumika kutengeneza Ndege na computer
katika eneo la Songwe Gerezani Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya
akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla ramani itakayotumika
katika mradi huo
|
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akizungumza jambo na viongozi wa kisiasa, kamati ya Ulinzi na usalama wilaya ya mbeya, uongozi wa kampuni ya Pandahil limited ambayo ndiyo inahusika na uchimbaji wa madini ya
adimu aina ya Niobium ambayo hutumika kutengeneza Ndege na computer
katika eneo la Songwe Gerezani Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya
|
Mwakilishi
wa kampuni ya Pandahil limited Mbeya Emanuel Kisasi ambayo ndiyo inahusika na uchimbaji wa madini ya
adimu aina ya Niobium akizungumza na waandishi wa habari katika eneo la
mradi eneo la Songwe Gerezani Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya
|
Eneo ambalo litahusika kwa ajili ya uchimbaji wa madini ya
adimu aina ya Niobium ambayo hutumika kutengeneza Ndege na computer
katika eneo la Songwe Gerezani Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya.
|
Na Mwandishi wetu,Mbeya
Mkuu
wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla ametembelea eneo la Pandahill kata ya Songwe
mahali ambapo patachimbwa madini adimu aina ya Niobium ambayo hutumika
kutengeneza Ndege na computer.
Mpaka sasa madini hayo huchimbwa bara la
Amerika tu na kugundulika kwa madini hayo Tanzania utakuwa mgodi wa nne duniani
na wa kwanza Afrika
Mkurugenzi wa kampuni ya Pandahil limited ndg Derick amesema imewachukua zaidi ya miaka 5 kufanya utafiti na kugundua uwepo wa madini hayo, taratibu zote za kisheria zimekamilika na kampuni hiyo itawekeza zaidi ya shilingi bilioni 500 katika mradi huo na mradi utatengeneza ajira watu 500 na mradi huo utaanza uzalishaji mapema mwaka 2018.

wa mkoa ameipongeza kampuni hiyo kwa ugunduzi na uwekezaji huo mkubwa sanjali na kuwataka na
kutoa ushirikiano na ushirikishwaji wa kwa viongozi na wananchi kwa kila hatua ili kuweka wazi
mradi huo kwa wananchi.
Aidha
amewataka wananchi na viongozi kutoa ushirikiano kwa kampuni hiyo ili wananchi
wanaozunguka eneo hilo uzalishaji utakapoanza wafaidike na ajira, huduma za
jamii na kodi mbalimbali kwa hslmashauri na serikali kuu
Pia
amewashukuru kwa mchango wa madawati 400 ambayo yatasambazwa kwa shule 7
zilizokuwa na upungufu wa madawati
Hata
hivyo Gereza la Songwe mkoani Mbeya linatalaji kuvunjwa na kuhamishiwa sehemu
nyingine kupisha uchimbaji wa madini hayo adhimu ya duniani ya niobium baada ya madini hayo kugundulika
kuwepo karibu na maeneo ya gereza hilo la songwe.
No comments:
Post a Comment