Utalii : Maofisa 27 wa ngazi za juu TANAPA Wamaliza mafunzo ya Kijeshi, Mlele Katavi - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 20 June 2016

demo-image

Utalii : Maofisa 27 wa ngazi za juu TANAPA Wamaliza mafunzo ya Kijeshi, Mlele Katavi


IMG_6911+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529
IMG_6912+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529 Waziri wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akipokea salamu wakati wa ufungaji wa mafunzo kwa maofisa 27 wa ngazi za juu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) ,mafunzo yaliyofanyika katika kambi ya Mlele mkoani Katavi.
IMG_6914+%25281280x853%2529
IMG_6916+%25281280x853%2529
IMG_6919+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529 Waziri wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akikagua gwaride la maofisa wa ngazi za juu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) wakati wa kufunga mafunzo yao katika kambi ya Mlele mkoani Katavi.
IMG_6883+%25281280x853%2529
IMG_6879+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529
IMG_6931+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529 Maofisa wa ngazi za juu wa Shirika la Hifadhi za Taifa,(TANAPA) wakila kiapo cha utii wakati wa kumaliza mafunzo ya kijeshi yaliyofanyika kambi ya Mlele mkoani Katavi.
IMG_6924+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi akiwa na Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa TANAPA,Witness Shoo wakifuatilia maonesho ya kijeshi kutoka kwa maofisa wa ngazi za juu wa shirika hilo waliomaliza mafunzo katika kambi ya Mlele mkoani Katavi.
IMG_6968+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529
IMG_7003+%25281280x853%2529 Waziri wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe na wageni wengine waalikwa wakiangalia umahiri wa maofisa wa Tanapa namna walivyopata mafunzo ya kijeshi ikiwa ni sehemu ya mabadiliko ya mfumo wa utendaji kazi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kutoka ule wa kiraia kwenda mfumo wa jeshi Usu.
IMG_7034+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529
IMG_7041+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529
IMG_7072+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529
IMG_7097+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529 Maofisa wa ngazi za juu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) waliomaliza mafunzo ya kijeshi wakiwa wamebeba silaha kuonesha utayari katika kupambana na ujangili katika Hifadhi za Taifa .
IMG_7044+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529
IMG_7047+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529
IMG_6986+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529
IMG_7064+%25281280x853%2529
IMG_7065+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529
IMG_7112+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529
IMG_7108+%25281280x853%2529
IMG_7116+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529
IMG_7128+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529 Maofisa wa ngazi za juu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) wakionesha umahiri katika kulenga Shabaha wakati wa kufunga mafunzo ya kijeshi kwa maofisa hao yaliyofanyika kambi ya Mlele mkoani Katavi.
IMG_7130+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529 Waziri wa maliasili na Utalii ,Prof Jumanne Maghembe akitizama matundu ya risasi wakati wa zoezi la ulengaji shabaha kwa maofisa wa ngazi za juu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) ,mafunzo yaliyofanyika kambi la Mlele mkoani Katavi.
IMG_7339+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529 Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa,(TANAPA) Pascal Shelutete akitoa muongozo wa namna wahitimu wa mafunzo hayo watakavyo pokea vyeti mara baada ya kuhitimu mafunzo ya kijeshi.
IMG_7240+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529
IMG_7254+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529
IMG_7264+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529 Waziri wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akitunuku vyeti kwa wahitimu wa mafunzo hayo.
IMG_7314+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa,(TANAPA) Allan Kijazi akizungumza wakati wa kufunga mafunzo kwa maofisa wa ngazi za juu wa Shirika hilo ,mafunzo yaliyofanyika katika kambi ya Mlele mkoani Katavi.
IMG_7318+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529 Mkuu wa wilaya ya Mlele ,Kanali Mstaafu ,Issa Njiku akizungumza wakati wa kufunga mafunzo kwa maofisa wa ngazi za juu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) .
IMG_7341+%25281280x853%2529 Baadhi ya wageni waalikwa katika hafla ya ufungaji wa mafunzo ya kijeshi kwa maofisa wa ngazi ya juu katika Shirika hilo.
IMG_7334+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529 Waziri wa Maliasili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akitoa hotuba yake wakati wa kufunga mafunzo ya kijeshi kwa maofisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Hifadhji za Taifa (TANAPA) mafunzo yaliyofanyika kambi ya Mlele mkoani Katavi.
IMG_7346+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529 Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) Betrita Loibooki akitoa neno la shukrani mara baada ya Waziri Maghembe kufunga mafunzo kwa maofisa wa ngazi za juu wa shirika hilo.
IMG_7354+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529 Waziri wa Maliasili na Utalii,Prof,Jumanne Maghemnbe akifurahia jambo na maofisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) ,mafunzo yaliyofanyika katika kambi ya Mlele mkoani Katavi.
IMG_7358+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529 Maofisa Uhifadhi wa ngazi ya juu katika Shirika la Hifadhi za Taifa(TANAPA) wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii,Prof,Jumanne Maghembe mara baada ya kufunga mafunzo kwa maofisa hao.
IMG_7372+%25281280x853%2529+%25281280x853%2529 Maofisa Uhifadhi wa ngazi ya juu wa Shirika la Hifadhi za Taifa(TANAPA) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuhitimu mafunzo ya kijeshi katika kambi ya Mlele iliyoko mkoani Katavi.

Na Dixon Busagaga wa Michuzi Blog.

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *