Teknolojia na Siasa : Luhwavi atembelea Uhuru Fm , Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 25 June 2016

Teknolojia na Siasa : Luhwavi atembelea Uhuru Fm , Jijini Dar



Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akiongozwa na Mkurugezi wa Mawasiliano Makao Makuu ya CCM, Godfrey Chongolo na Mkuu wa Chumba cha Habari Uhuru FM, Pius Ntiga, kwenda katika Ofisi za Uhuru Fm, mtaa wa Ukami, katika Jengo la Ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam, kuzungumza na watumishi wa Radio hiyo ili kujua kwa undani masuala mbalimbali wanayokabiliana nayo katika utendaji wao wa kazi za kila siku, jana.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akifurahia jambo na Mkurugezi wa Mawasiliano Makao Makuu ya CCM, Godfrey Chongolo wakati wakienda katika Ofisi za Uhuru Fm, mtaa wa Ukami, katika Jengo la Ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam, kuzungumza na watumishi wa Radio hiyo ili kujua kwa undani masuala mbalimbali wanayokabiliana nayo katika utendaji wao wa kazi za kila siku, jana.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akisaini kitabu cha wagen baada ya kufika katika Ofisi za Uhuru FM
Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru FM, Angel Akilimali akimpatia maelezo kuhusu utendaji wa Uhuru FM.

Mkurugenzi wa Uhuru FM, Angel Akilimali akikabidhi taarifa ya Uhuru FM kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi baada ya kumsomea
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akimshukuru Mkurugenzo wa Uhuru FM, Ange Akilimali wakati akipokea taarifa hiyo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akipatiwa maelezo katika chumba cha kufuatilia na kuratibu habari cha Uhuru FM 
Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru FM, Angel Akilimali akimpa ufafanuzi Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi kuhusu chumba hicho cha kufuatilia na kuratibu habari 
Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru FM, Angel Akilimali akimpa ufafanuzi Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi kuhusu chumba hicho cha kufuatilia na kuratibu habari 
Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru FM, Angel Akilimali akimpa ufafanuzi Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi kuhusu chumba hicho cha kufuatilia na kuratibu habari 
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akiwasili katika ukumbi kuzungumza na wafanyakazi wa Uhuru FM.
Katibu wa CCM, Tawi la Uhuru FM Amina, akimkaribisha Luhwavi katika ofisi za Uhuru FM
Meza kuu wakiwa wameketi tayari kwa mzungumza na wafanyakazi wa Uhuru FM.
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa ukumbini.
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa ukumbini.
Para akiwa kazini.
Baadhi ya wafanyakazi wakiwa ukumbini.


Mwenyekiti wa CCM tawi la Uhuru FM, Pius Ntiga akizungumza

Baadhi ya wafanyakazi wakiwa ukumbini

Baadhi ya wafanyakazi wakiwa ukumbini.

Mkurugnezi Mtendaji wa Uhuru FM Angel Akilimali akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Rajab Luhwavi kuzungumza na wafanyakazi.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akizungumza na wafanyakazi wa Uhuru FM.

aibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akizungumza na wafanyakazi wa Uhuru FM. Chini ni Wafanakazi mbalimbali wakitoa hoja zao





Luhwavi na Akilimali wakiwasikiliza wafanyakazi wakitoa yao ya moyoni

Naibu Katibu Mkuu wa CCM- Bara Rajab Luhwavi akijibu hoja na maoni mbalimbali baada ya kutolewa na wafanyakazi wakati wa kikao hicho. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment