Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika la Nyumkba la Taifa la Tanzania (NHC), Issack Peter akitoa mada kuhusu utendaji wa Shirika hilo jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa kujifunza utekelezaji mradi wa ECO Residence uliojengwa na NHC Kinondoni Hananasifu na kujadili mapendekezo ya mradi huo.PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG.
Muonekano wa Jengo linavyoonekana kwa nje

No comments:
Post a Comment