Siasa : Hotuba ya Maalim Seif Shariff Hamad ; maswali na majibu....Washington DC - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 23 June 2016

Siasa : Hotuba ya Maalim Seif Shariff Hamad ; maswali na majibu....Washington DC


Photo Credits: Swahilivilla Blog
June 18, 2016, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Maalim Seif Sharif HamaD alifanya mkutano kuzungumza na waTanzania waishio nje ya nchi kupitia wale waishio jijini Washington DC.
Hii ilikuwa sehemu ya shughuli zake alipokuwa katika ziara yake ya siku 14 nchini Marekani na Canada.
Ameeleza mengi kuhusu uchaguzi wa Zanziba, kilichotokea, kilivyotokea na namna wanavyotafuta suluhisho la mgogoro wa kisiasa, kikatiba na kisheria uliopo nchini Zanzibar
Karibu umsikilize
Baada ta hapo, wahudhuriaji walipata nafasi ya kuuliza maswali Karibu uwasikilize

No comments:

Post a Comment