Matukio : BOT Mbeya yafuturisha wadau wake katika sherehe za miaka 50 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 25 June 2016

Matukio : BOT Mbeya yafuturisha wadau wake katika sherehe za miaka 50


Waumini wa dini ya kiislamu Mkoa wa Mbeya pamoja na wadau mbalimbali wakifuturu futali iliyoandaliwa na benki Kuu ya Tanzania (BOT)Tawi la Mbeya ambapo benki hiyo ipo katika kuadhimisha miaka ya hamsini ya kuanzishwa kwake. Picha E.Madafa na D.Nyembe
Wageni waalikwa ,viongozi wa serikali na viongozi wa dini mbalimbali mkoani Mbeya  wakipita kupata  futari kwenye ukumbi wa benki kuu Tanzania( BOT) tawi la Mbeya .
Mkurugenzi wa benki kuu Tanzania( BOT) tawi la mbeya  Jovenant Rushaka akiongoza kupata futari.


Wafanyakazi benki kuu Tanzania tawi la Mbeya wakipata futari

Wageni waalikwa Viongozi wa serikali na wadau mbalimbali  wakibadilishana mawazo pamoja na kupata futari iliyoandaliwa na benki kuu Tanzania(BOT) kama sehemu ya kuadhimisha miaka 50 ya kuanzishwa kwa benki hiyo.

wadau wakipata futari.

No comments:

Post a Comment