Rais wa Marekani Barack Obama
ametangaza kumuunga mkono Hillary Clinton kuwa mgombea urais wa chama
cha Democratic katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu
nchini Marekani.
Amechukua hatua hiyo muda mfupi baada ya kukutana
na seneta wa Vermont Bernie Sanders ambaye amekuwa akikabiliana na Bi
Clinton katika kinyang’anyiro cha kumchagua mgombea wa chama hicho.
SERIKALI YASISITIZA UMUHIMU WA MAFUNZO YA UFUATILIAJI NA TATHIMINI KWA
MAENDELEO YA MIRADI YA SERIKALI
-
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) imezitaka
halmashauri, taasisi, na wadau mbalimbali wanaonufaika na mafunzo ya
ufuatili...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment