Matukio : Rais Dk. Magufuli aendesha kikao cha baraza la Mawaziri mjini Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


3 May 2016

Matukio : Rais Dk. Magufuli aendesha kikao cha baraza la Mawaziri mjini Dodoma

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein kabla ya kuanza kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma Mei 2, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma Mei 2, 2016

Post Top Ad