Matukio : Mkuu wa Mkoa Arusha, Mhe. Daudi Felix Ntibenda akabidhiwa ripoti ya watumishi hewa 350 wa Mkoa wa Arusha - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


29 Apr 2016

Matukio : Mkuu wa Mkoa Arusha, Mhe. Daudi Felix Ntibenda akabidhiwa ripoti ya watumishi hewa 350 wa Mkoa wa Arusha


 Kamati yakuchunguza watumishi hewa ya mkoa wa Arusha ikikabidhi ripoti kwa Mkuu wa Mkoa na Katibu tawala wa Mkoa, baada yakukamilisha zoezi hilo , Aprili 21,2016.
 Katibu tawala wa Mkoa,Adoh Mapunda akisoma tadhimini ya ripoti ya kamati ya uchunguzi ya watumishi hewa kwa Mkoa wa Arusha ,Aprili 21,2016.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda,akitoa maelekezo yakutekelezwa baada yakupokea ripoti ya watumishi hewa kwa Mkoa wa Arusha, yenye idadi ya watumishi hewa 350, Aprili 21,2016.

Post Top Ad