Kimataifa : Kipindi cha Jukwaa Langu. Mjadala wa DICOTA Convention 2016 April 25 - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


26 Apr 2016

Kimataifa : Kipindi cha Jukwaa Langu. Mjadala wa DICOTA Convention 2016 April 25


Kongamano la kila mwaka la waTanzania waishio Marekani (DICOTA) litafanyika mwishoni mwa juma hili jijini Dallas Texas.
Katika kipindi cha Jukwaa Langu jumatatu hii, tulipata fursa ya kuzungumza na viongozi waandamizi wa DICOTA, Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini Lunda Asmani na Mwenyekiti wa DICOTA Dr Ndaga Mwakabuta.
Pia wachangiaji mbalimbali
KARIBU

Post Top Ad