Bungeni : Taswira mbalimbali ya matukio bungeni leo - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


25 Apr 2016

Bungeni : Taswira mbalimbali ya matukio bungeni leo

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sere,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama (katikati na Mwanansheria Mkuu wa Serikali, George Masaju,bungeni Mjini Dodoma Aprili 25, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango, bungeni mjini Dodoma Aprili 25, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, bungeni Mjini Dodoma Aprili25, 2016.
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe (kulia) akiteta na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt,. Hussein Mwinyi, bungeni Mjini Dodoma Aprili 25, 2016. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Mwibara, Kange Lugola, bungeni Mjini Dodoma Aprili 25, 2016. 
 Mwenyekiti wa Bunge Dkt. Mary Mwanjelwa  (kushoto) akiteta na Mbunge wa Viti Maalum Grace Kiwelu, bungeni mjini Dodoma Aprili 25, 2016.  
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Busanda, Lolesia Bukwimba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 25, 2016. Katikati ni Mbunge wa Urambo, Margaret Sitta.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad