Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira,
Vijana na Watu wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (watatu kulia)
akiongoza wanawake kufanya mazoezi wakati wa tamasha la maadhimisho
kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini
Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Bibi.
Sihaba Nkinga (katikati) akifanya mazoezi ya kukimbia wakati wa tamasha
la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya
Uhuru leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mjumbe wa Baraza la Michezo
ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Bibi. Zainabu Mbussi.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira,
Vijana na Watu wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akiongea na wanawake
(hawapo pichani) walioudhuria tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha
siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Makamu
Mwenyekiti Baraza la Michezo Taifa Bibi. Zaynab Matitu Vulu ambaye pia
ni Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Pwani akimkaribisha mgeni rasmi Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na
Watu wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama wakati wa tamasha la
maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya
Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira,
Vijana na Watu wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akirusha mpira
kuashiria ufunguzi wa mchezo wa mpira wa pete wakati wa tamasha la
maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya
Uhuru leo jijini Dar es Salaam. Anayezuia mpira ni Mjumbe wa Baraza la
Michezo ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Bibi. Zainabu Mbussi.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira,
Vijana na Watu wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (wapili kushoto)
akipata maelekezo kuhusu michezo mbalimbali iliyoandaliwa kutoka kwa
Kaimu Katibu Mtendaji Baraza la Michezo la Taifa Bw. Mohamed Kiganja
(wapili kulia) wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku
ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Wanamichezo
kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakifanya mazoezi
ya viungo kabla ya kushiriki michezo mbalimbali wakati wa tamasha la
maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya
Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Wanamichezo
kutoka Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), wakijiandaa
kushiriki mchezo wa kuvuta kamba ambapo walishindana na Wanamichezo
kutoka Wizara Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo tamasha la maadhimisho
kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo
jijini Dar es Salaam.
Wanamichezo
kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiwavuta
wapinzani wao kutoka Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF)
mbalimbali wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya
wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira,
Vijana na Watu wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akikagua timu ya mpira
wa miguu kutoka Shule ya Sekondari Makongo ambao walishiriki tamasha la
maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya
Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira,
Vijana na Watu wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akipokea fomu ya
kujiunga kwa hiari katika Mfuko wa Hiara wa PSPF kutoka kwa Mkurugenzi
Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea
kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es
Salaam.
Mgeni
rasmi (katikati mstari wa mbele) Mhe. Jenista Mhagama akiwa katika
picha ya pamoja washiriki na wadau waliondaa tamasha la maadhimisho
kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini
Dar es Salaam.
Baadhi
wa wanafunzi wakifuatilia michezo mbalimbali iliyokua ikiendelea wakati
wa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele cha siku ya wanawake katika
viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Matukio
ya michezo mbalimbali wakati wa tamasha la maadhimisho kuelekea kilele
cha siku ya wanawake katika viwanja vya Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
Picha na: Beatrice Lyimo na Genofeva Matemu
No comments:
Post a Comment