Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) pamoja na Viongozi wengine na wananchi wakibeba jeneza la
Marehemu Mzee Hamid Ameir Muasisi wa Mapinduzi,pia Mwenyekiti wa Baraza
la Wazee wa CCM baada ya kuswaliwa leo wakati wa Mazishi yake
yaliyofanyika Kijijini kwao Donge wilaya ya Kaskazini B.Unguja.
Wananchi
waliohudhuria katika mazishi ya Marehemu Mzee Hamid Ameir Muasisi wa
Mapinduzi,pia Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM wakilibeba jeneza
wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika leo Kijijini kwao Donge wilaya ya
Kaskazini B.Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) pamoja na wananchi na Viongozi wakiwa katika maziko ya
Marehemu Mzee Hamid Ameir Muasisi wa Mapinduzi,pia Mwenyekiti wa Baraza
la Wazee wa CCM aliyezikwa leo Kijijini kwao Donge wilaya ya Kaskazini
B.Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akitia udongo katika kaburi la Marehemu Mzee Hamid Ameir
Muasisi wa Mapinduzi,pia Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM baada ya
kufariki jana katika hospitali ya Mnazi Mmoja na kuzikwa leo Kijijini
kwao Donge wilaya ya Kaskazini B.Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) pamoja na Viongozi wengine na wananchi wakiitikia dua
iliyoombwa baada ya kuzikwa Marehemu Mzee Hamid Ameir Muasisi wa
Mapinduzi,pia Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM leo Kijijini kwao
Donge wilaya ya Kaskazini B.Unguja.
Waziri
wa nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohammed Aboud Mohammed akisoma
risala ya na wasifu wa Marehemu Mzee Hamid Ameir Muasisi wa
Mapinduzi,pia Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM baada ya kuzikwa leo
Kijijini kwao Donge wilaya ya Kaskazini B.Unguja.Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment