Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akifungua mkutano wa tisa wa siku mbili kwa Wabunge wa Bunge la Afrika
Mashariki pamoja na Wabunge wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki, unaojadili kuhusu kupitia kanuni, Sheria na Itifaki
zilizotolewa na Jumuiya ya Afrika Mashariki juu ya Chaguzi zinazofanyika
ndani ya Nchi hizo. Mkutano huo umefunguliwa leo katika ukumbi wa LAPF
Makumbusho jijini Dar es salaam
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
katikati, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Mtandao wa Kitaifa
wa Kingdom Leadership Tanzania Network na Viongozi wa Dini wa Mataifa
mbalimbali Duniani baada ya uzinduzi wa Mpango wa Sala Maalum ya
kuliombea Taifa uliofanyika leo March 03,2016 katika Hoteli ya Hayyat
Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Sheyros Banji
nje wa ukumbi wa LAPF Makumbusho jijini Dar es salaam leo March 03,2016
baada ya kufungua mkutano wa tisa wa siku mbili kwa Wabunge wa Bunge la
Afrika Mashariki pamoja na Wabunge wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki, unaojadili kuhusu kupitia kanuni, Sheria na Itifaki
zilizotolewa na Jumuiya ya Afrika Mashariki juu ya Chaguzi zinazofanyika
ndani ya Nchi hizo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akiwa katika picha ya pamoja na wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki
pamoja na Wabunge wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki baada
ya kufungua mkutano wa tisa unaojadili kuhusu kupitia kanuni, Sheria na
Itifaki zilizotolewa na Jumuiya ya Afrika Mashariki juu ya Chaguzi
zinazofanyika ndani ya Nchi hizo.mkutano huo umefunguliwa leo Marchi
03,2016 katika ukumbi wa LAPF Makumbusho jijini Dar es salaam. (Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment