Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa CCM, amejumuika na waombolezaji wengine kushiriki ibada ya kumuaga aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, marehemu Jenista Joakimu Mhagama, inayofanyika katika Kanisa Katoliki Kiwanja cha Ndege, jijini Dodoma.
Elimu : EL NIÑO Yasogeza Ratiba ya Mitihani ya Taifa
-
Na Karama Kenyunko Michuzi tv
SERIKALI imebadilisha ratiba ya Upimaji na Mitihani ya Taifa ya mwaka 2026,
kwa kurudisha nyuma mitihani hiyo kutoka No...
2 days ago





No comments:
Post a Comment