Elimu : Wanafunzi wa Feza Boys High School watembelea Virginia International University - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Friday, 25 March 2016

demo-image

Elimu : Wanafunzi wa Feza Boys High School watembelea Virginia International University


29b65b50951cd3e691ab910f32260482
Wanafunzi wa Feza Boys High School kutoka jijini Dar es Salaam wakipata picha ya pamoja walipokua Virginia International University iliyopo jimbo la Virginia siku ya Alhamisi March 24, 2016, wanafunzi hao wapo kwa ziara maalum ya kuangalia uwezekano wa kujiunga na chuo hicho katika masomo ya juu.
3c2c1850f646f440dc189914b4964e91
 Makamu Rais wa Chuo hicho Dr. Suleyman Bahceci (kulia) akiwaeleza wanafunzi hao taratibu za kufuata kwa ajili ya kujiunga na VIU6ac1621a60e6b1729597d255e4763033
Kushoto ni Alex Luketa Mtanzania anayefanyakazi chuoni hapo kwa ajili ya kusajili wanafunzi kutoka Afrika Mashariki akiwa pamoja na wanafunzi wa Feza Boys High School wakimsikiliza Makamu Rais wa chuo (hayupo pichani) alipokua akielezea wanafunzi hao utaratibu wa kujiunga na masomo VIU.
72016692d75d8aa11f4f292c92fa9b64
Wanafunzi wa Feza Boys wakipata mulo.
747d358beb56810ec3ed4dfa3daa254c
Mazungumuzo yakiendelea.
d35d58f8380e648e648c106e0bcf35c5
 Picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *